Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil akitoa hotuba fupi ya Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.Wadau wakifuatilia kwa Makini Majadiliano ya maoni kuhusu maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi katika ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.
Wadau wakifuatilia kwa makini maelezo ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) katika Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.Mshauri Mwelekezi, Dkt. Haji Semboja toka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aliyeshiriki kikamilifu kuandaa Rasmu ya Sera ya Taifa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Wataalam wa Jeshi la Magereza akiwasilisha rasimu hiyo leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo kabla ya kuanza majadiliano.Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(kulia) akifanya mahojiano Maalum na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo vya ITV na Channel Ten leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo. Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa pili kulia) akiteta jambo na Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(kulia) baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza(kulia) akimuongoza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(kushoto) alipowasili kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza.
Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(wa kwanza kushoto) akifuatilia kwa Makini Majadiliano ya maoni kuhusu maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo. Wengine kulia ni Viongozi Wastafu wa Jeshio la Magereza.Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawaki(katikati) akiwa katika piicha ya pamoja na Washiriki Wadau wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo
No comments:
Post a Comment