Wasanii wa kundi la Original Komedi wakitoa burudani kwenye uwanja wa Ushirika Mjini Moshi wakati wa kampeni ya kifurushi cha Tigo welcome pack, Kifurushi hicho kitamwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.Msanii Emmanuel Mgaya Maarufu Masanja Mkandamizaji akiwapa raha wakazi wa Moshi waliofurika kwenye uwanja wa Ushirika wakati wa onesho la Tigo welcome pack
No comments:
Post a Comment