Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, January 17, 2015

MAMA AMCHARANGA VIWEMBE MWANAYE!



Mtoto anayefahamika kwa jina la Zena anayedai kunyanyaswa na mama yake.
Unyama wa kutisha! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina la Feromena, mkazi wa Meko-Mtongani, Kunduchi jijini Dar, anatuhumiwa kumcharanga viwembe mwanaye wa kumzaa aliyetajwa kwa jina moja la Zena mwenye umri wa miaka kumi.
Tukio hilo la kulaaniwa lilijiri Jumanne wiki hii nyumbani kwa mwanamke huyo maeneo hayo ambapo mama huyo inadaiwa alimsulubu mwanaye huyo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Msingi Mtakuja.


Sehemu ya majeraha ya viwembe kichwani kwa mtoto Zena. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mama huyo alidaiwa kumfungia ndani mwanaye huyo na kuanza kumpa kipigo cha mbwa mwizi.Walidai kwamba ukiachana na siku hiyo, mama huyo amekuwa akimsulubu mwanaye huyo mara kwa mara kwa kumcharanga viwembe na vitu vyenye ncha kali hivyo kumwachia majeraha sehemu mbalimbali za mwili

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG