rembo anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora wamepiga picha za ngono kisha kusambaa hadi kulifikia deski la Ijumaa Wikienda.
Mrembo
anayeuza nyago (video queen) kwenye video kibao za wasanii wa Bongo
Fleva, Tunda Sabasitana na mchekeshaji maarufu Bongo, Stan Bakora
wakijiachia.
Picha hizo chafu zilitua mezani kwetu wikiendi iliyopita ikiwa ni siku mahususi kwa wapendanao.
Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa kwenye ‘bedi’ huku wakifanya yao.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Stan na Tunda, wawili hao wemekuwa kwenye ‘malovee’ siku nyingi na kupiga picha za ngono kwao si ishu maana wote hawana mshipa wa aibu kwa kuwa ni wasanii.
Ilisemekana kwamba tangu Stan aanze kuigiza amekuwa akifanya mambo ya aibu tofauti na jinsi anavyoonekana.

Stan Bakora na mrembo huyo wakiendelea kula ujana.
Pia ilidaiwa kwamba Tunda naye si mwoga kwenye mambo hayo ndiyo maana
hata anapoombwa kuwa katika video za wasanii mbalimbali huwa haoni aibu
kujiachia mtupu.
“Tunda ni video queen ambaye ameonekana
kwenye video nyingi sana za wasanii kama kwenye Wimbo wa Barnaba na
Amini unaokwenda kwa jina la Why Me, wimbo wa Matonya aliomshirikisha
Christian Bella wa Agwelina, wa TID mpya unaoitwa Wewe Ndo Unanipa Raha,
wa Christian Bella, Dully Sykes na Tanzanite unaitwa Ndombolo ya Solo
na Wimbo wa Timbulo unaoitwa Sina Makosa,” kilisema Chanzo chetu.
Wawili hao wakitomasana.
Kwa upande wake, Stan anafanya poa kwa sasa katika filamu za
kuchekesha akiwa karibu na mkuu wake wa kazi, Mussa Yusuph ‘Kitale’ na
wanafanya safi pia kwenye vibwagizo ambavyo vinarushwa kila mara katika
Kituo cha Redio EFM.Wawili hao walipopigiwa simu kwa nyakati tofauti hawakuwa na majibu ya kueleweka zaidi ya kujing’atang’ata kwa aibu.
No comments:
Post a Comment