Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA
Showing posts with label mkutano. Show all posts

Thursday, October 2, 2014

Mkutano sekta ya mawasiliano 'Connect to Connect Summit' waendelea Dar

Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma (kushoto) akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura wakiwa katika mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma (kushoto) akiwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura wakiwa katika mkutano huo.(P.T)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge (kulia) wakifuatilia mada anuai zinazowasilishwa katika mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura, akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa tatu kulia) viongozi hao pamoja na maofisa kutoka sekta hiyo walikutana kimazungumzo ya kuangalia namna ya kushirikiana katika utendaji kazi. Mkutano huo umeandaliwa na TTCL kwa kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (katikati) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (wa pili kulia). Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (katikati). Wa kwanza kulia Mkuu wa Kitengo cha Ufundi cha TTCL, Senzige Kisenge.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura na Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci (mwanamama pichani) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao juu ya ushirikiano kikazi. Wengine ni maofisa waandamizi kutoka pande zote wa sekta ya mawasiliano.

Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa leo ikiwa ni siku ya pili ya mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Thursday, September 25, 2014

HOTUBA YA JK KWENYE MKUTANO WA TABIANCHI, UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK

  • Written by  Tupambane Blog
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter 

Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kin Moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani.
TUPAMBANE BLOG