Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA
Showing posts with label shambulio. Show all posts
Showing posts with label shambulio. Show all posts

Tuesday, April 7, 2015

WACHEZAJI WAFYATULIWA RISASI!

Basi la kilabu ya fenerbahce nchini Uturuki
Shrikisho la soka nchini Uturuki lilishtumu shambulio hilohuku katibu mkuu wa kilabu hiyo Mahmut Uslu akisema kuwa kitendo hicho ni cha makosa.
''Tulikuja hapa kucheza soka'', alisema Uslu ambaye alikuwa katika basi hilo wakati wa shambulio hilo.
TUPAMBANE BLOG