Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, July 31, 2014

BARANI ASIA


HII NDIO NCHI ILIYOPITISHA SHERIA YA WEZI KUKATWA MIKONO NA WAZINIFU KUPIGWA MAWE

Sultani na mtawala wa Brunei ambaye ni mmoja wa matajiri wakubwa duniani Serikali ya Brunei iliyo Kusini Mashariki mwa Bara Asia, itaanza kutumia sheria kali za kiisilamu. Kiongozi wa nchi hiyo ya kiisilamu ambayo ni jirani na Malaysia ametangaza kuwa sheria hiyo itaanza kutumika kuanzia wiki hii. Adhabu zilizo chini ya sheria za kiisilamu ni pamoja na kuwakata...

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG