Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, August 4, 2014

MAMA AJIFUNGUA WATOTO WA TATU MJINI ARUSHA



Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. (Picha kwa hisani ya AICC). Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni wakiwa na afya njema. (Picha kwa Hisani ya

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG