Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Wednesday, August 27, 2014

ARSENAL SUBURBIA VIPIMO VYA GIROUD

  •  
  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter Share on linkedin
GR_00abd.jpg
Arsenal wanasubiri matokeo ya vipimo vya pili vya scan vya Olivier Giroud baada ya kuumia kiwiko cha mguu, na huenda akakosa kucheza kwa miezi mitatu.
Giroud, 27, aliumia katika mchezo dhidi ya Everton uliomalizika kwa sare ya 2-2.
Alitakiwa kufanyiwa vipimo vya pili kuona madhara aliyopata baada ya uvimbe kupungua.
Kukosekana kwa Giroud kunamaanisha Alexis Sanchez, Joel Campbell, Yaya Sanogo na Lukas Podolski, ndio tegemeo la ushambuliaji.
Sanogo hata hivyo ana jeraha la msuli na huenda asiweze kucheza mechi ya Champions League dhidi ya Besitkas siku ya Jumatano.tmk

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG