Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, August 21, 2014

Choo kipi ni bora hapa Tanzania

Pichani ni choo ambacho nimekikuta kitongoji cha Madilu, Kijiji cha Mlangali, Wilayani Ludewa.
  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter Share on linkedin

Choo kipi ni bora hapa Tanzania

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter Share on linkedin

Na Mathias Canal, Kwanza Jamaii-Ludewa
Wakati wengine wanatumia maji, kusafisha choo, wapo wengine wanasafisha kwa miti.
Wakati wengine wanatumia maji kujisafisha watokapo chooni, Wengine wanatumia magunzi na mchanga kujisafisha watokapo chooni.
Wakati wengine wanafurahia wanapokuw chooni, wengine wanatamani kumaliza mapema ili harufu wanyokumbana nayo wasiisikie kutokana na hali ya choo.
Pichani ni choo ambacho nimekikuta kitongoji cha Madilu, Kijiji cha Mlangali, Wilayani Ludewa.

Na Mathias Canal, Kwanza Jamaii-Ludewa
Wakati wengine wanatumia maji, kusafisha choo, wapo wengine wanasafisha kwa miti.
Wakati wengine wanatumia maji kujisafisha watokapo chooni, Wengine wanatumia magunzi na mchanga kujisafisha watokapo chooni.
Wakati wengine wanafurahia wanapokuw chooni, wengine wanatamani kumaliza mapema ili harufu wanyokumbana nayo wasiisikie kutokana na hali ya choo.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG