Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, August 21, 2014

JK mgeni rasmi mashindano ya michezo Afrika Masharik

Mh.jk





  • Written by Tupambane   Blog

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki(FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22 na kuzinduliwa rasmi tarehe 24 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22, kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa TAMISEMI Packshard P. Mkongwi.(Martha Magessa) 

Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TAMISEMI Jumanne Sagini, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda, Mkuu wa Uhamasishaji wa Shirikisho la Michezo kwa Shuleza Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA)Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya : Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda Mkuu wa Uhamasishaji na Matangazo wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA)Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.Picha zote na Frank Shija, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHVUM

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG