Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Wednesday, August 27, 2014

Muhukuru Mengine Ya Kwenye Katiba Yanawachanganya...!

Published in Jamii
Photo: Muhukuru Mengine Ya Kwenye Katiba Yanawachanganya...!
Ni kijiji jirani na mpaka wa Tanzania na Msumbiji, Ruvuma.
1. Uraia pacha wao tayari wanao. Wayao wako Tanzania na Msumbiji. Wanavuka mpaka bila passport. Kuna wenye ndugu pande zote mbili za mpaka.
2. Serikali Tatu tayari wanazo; ya Tanzania, Msumbiji na Zanzibar. Ikija Tanganyika itakuwa ya Nne..!
Kila la kheri Spika Samwel Sitta.
Good night.
Maggid,
Iringa.
Ni kijiji jirani na mpaka wa Tanzania na Msumbiji, Ruvuma.
1. Uraia pacha wao tayari wanao. Wayao wako Tanzania na Msumbiji. Wanavuka mpaka bila passport. Kuna wenye ndugu pande zote mbili za mpaka.
2. Serikali Tatu tayari wanazo; ya Tanzania, Msumbiji na Zanzibar. Ikija Tanganyika itakuwa ya Nne..!
Kila la kheri Spika Samwel Sitta

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG