Wachezaji
wa zamani katika timu za Yanga, Simba na timu ya Taifa, wanaunda kikosi
cha timu ya Tanzania Eleven, wakiwa katika mazoezi ya pamoja kwenye
Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam,leo jioni kwa ajili ya kujiandaa
na mchezo wao wa kirafiki na timu ya wachezaji wanaunda kikosi cha
wachezaji wa zamani waliowahi kuichezea timu ya Real Madrid, mchezo
unaotarajia kupigwa siku ya jumamosi kwenye Uwanja wa Taida jijini.
Makipa
wa timu hiyo,Mohamed Mwameja (chini kushoto) na Peter Manyika, wakiwa
katika mazoezi hayo ya maandalizi. Picha kwa hisani ya Amani Tz.
No comments:
Post a Comment