Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, September 14, 2014

DEREVA BODABODA ANUSURIKA KIFO....!

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 


AJALI_18a78.jpg
AJALI.3_abfff.jpg
Mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda mkazi wa Ndiuka, Justin Chahe amenusurika kifo pamoja na abiria wake baada ya kugongana na daladala  eneo la mwisho wa lami, Mwangata katika Manispaa ya Iringa leo mchana. Dereva huyo baada la kulipita gari moja akitokea Zizi la Ng'ombe ghafla akakutana na hiace mbele ambapo dereva wa daladala alipinda kulia bila kuonyesha indictor kuelekea Kihodombi na kusababisha pikipiki kuingia uvunguni mwa gari hilo ingawa daladala ilikuwa haina abiria hata mmoja ndani yake.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG