Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, September 27, 2014

KINANA ASHIRIKI KILIMO KOROGWE

Mh.nape nawiye akiongea na wananchi wa korogwe
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akichanyata shamba kwa ajili ya kupanda mpunga, katika eneo la Mradi wa Kilimo Kwanza wa Skimu katika Kijiji cha Mahenge, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM katika wilaya ya Korogwe Mjini, mkoani Tanga, juzi Septemba 26,2014.9 .(T.K)

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG