Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, September 16, 2014

MBEYA CITY FC YAFUNGWA 4-1 NA VIPERS FC YA UGANDA, SOKOINE STADIUM

Mechi hiyo ilishuhudiwa na mamia ya washabiki wa soka nchini katika uga wa Sokoine Jijini Mbeya ikiwa ni katika harakati za kujiandaa na Ligi Kuu msimu wa 2014/2015 iliyomalizika kwa washiriki wa kwanza wa Nile Basin Cup kutoka nchini Tanzania (Mbeya City FC) kunyukwa 4-1...(tk)

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG