Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, September 16, 2014

Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola umeendelea kuwa kitisho cha dunia

Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola umeendelea kuwa kitisho cha dunia, wakati huko Sierra Leone kukiripotiwa kifo cha daktari wa nne, mwanamke, wanasayansi wa Chuo Kikuu Cha Oxford cha nchini Uingereza wameitaja Tanzania kuwa ni miongoni mwa mataifa 15 yaliyo katika hatari ya kukabiliwa na mripuko wa ugonjwa huo hatari.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG