Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, September 15, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MOSHI

picha
Bondia Elick Mwenda kushoto wa Malawi akikwepa ngumi  wakati wa mpambano wake na bondia Allybaba Ramadhani   uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Allybaba alishinda kwa pointi mpambano huo Picha na TUPAMBANE  BLOG

Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha naTUPAMBANE BLOG

Allybaba Ramadhani(t.k)

Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne picha na SUPERD BLOG

Bondia Shomari Milundi kushoto akipambana na Saimoni Zabron wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi mpambano huo walitoka Droo ya kufungana point picha na TUPAMBANE BLOG

Shomari Milundi kushoto na Simon Zablon wakinyooshwa mikono juu na refarii Pembe Ndava kuashiria Doroo picha na TUPAMBANE BLOG

Bondia Said Yazidu kushoto akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo picha na TUPAMBANE BLOG

Bondia Djamal Dahou wa Algeria akipambana na  Said Yazidu Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza. Picha na TUPAMBANE  BLOG

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG