Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, September 9, 2014

NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA


  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 

Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama pamoja na kuwaunganisha watanzania kujikomboa kiuchumi
Baadhi ya viongozi wa mashina ya CCM Uingereza wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye aliyekuwa akitoa somo juu ya Wajibu wa Matawi ya CCM nje ya Nchi.

 Viongozi wa mashina wakisikiliza kwa makini.(P.T)

 Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza wakiandika pointi muhimu.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza .

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mashina ya CCM London nchini Uingereza mara baada ya kutoa somo linalohusu Wajibu wa Matawi ya nje ya CCM katika ukumbi wa kituo cha mafunzo Barking,London ya mashariki.

Katibu wa NEC Itikadi na Unezi Nape Nnauye akijibu  maswali mbalimbali kutoka kwa mwandishi maarufu nchini Uingereza Ayoub Mzee mara baada ya kumaliza kutoa semina kwa viongozi wa mashina ya CCM nchini Uingereza

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG