Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, September 9, 2014

NHIF YATETA NA WASANII BASATA

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter
2
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.
3
Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo.
4
Washiriki wa semina hiyo wakijisomea majarida waliyogawiwa kwenye semina hiyo.(P.T)
5
6
Meneja wa Mfukwa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopherse Mapunda akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo, kutoka kushoto ni Bona Masenge Afisa Sanaa BASATA, Frora Mgonja Afisa Utawala BASATA na Deogratius Nchimbi Afisa Sheria BASATA wakishiriki katika semina hiyo.
7
Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyo
8
Baadhi ya wasanii wakiandika mambo muhimu yaliyokuwa yakijadiliwa katika semina hiyo
9
Mashairi aliyeng'ara na Kundi la Wagosi wa Kaya, Fred Maliki 'Mkoloni'akichangia mada wakwati alipokuwa akiuliza swali katika semina hiyo
10
Baadi ya wanamuziki wa muziki wa dansi wakiwa katika semina hiyo.
12
Mwimbaji wa muziki wa taarabu Siza Mazongela alikuwa ni mmoja wa wasanii walioshiriki katika semina hiyo.
13
Mmoja wa washiriki wa sanaa ya filamu akiuliza swali.
15
Baadhi ya maofisa kutoka mfuko wa LAPF ambao nao walitoa mada katika semina hiyo
16
17
Super Nyamwela mnenguaji mahiri kutoka bendi ya Exta Bongo kulia akiwa katika semina hiyo na washiriki wengine.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG