Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, September 12, 2014

NGUMI KUPIGWA KESHO MOSHI KATIKA UKUMBI WA Y.M.C.A HALL

  • Written by  Tupambane  Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 
Bondia Elick Mwenda   wa Malawi kushoto akitunishiana misuli na Alibaba Ramadhani baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa mpambano utakaofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa YMCA Hall Picha na Thommy kundy
Mabondia Raymond Mbwago kushoto Shomari Mirundi na Iddi Pialala wakisubili kupima uzitoi kwa ajili ya mpambano huo kesho ijumaa

Bondia Shomari Mirundi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake..
Promota wa ngumi Georeg Endru katikati akiwanyoosha mikono juu mabondia Elick Mwenda   wa Malawi kulia na Alibaba Ramadhani baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa mpambano utakaofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa YMCA Hall Picha na Thommy kundy
Promota wa ngumi Georeg Endru katikatiakiwainua mikono juu bondia Said Yazidu wa Tanzania na Dijamel Dahou wa Aligeria baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO
Picha na thommy  kundy
bondia Said Yazidu akitambiana na 
Dijamel Dahou wa Aligeria baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Dunia wa UBO

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG