Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, September 4, 2014

NHIF YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter
kurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mpango wa kuanza kutoa mikopo ya dawa kwa vituo ambavyo vimesajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko huo Bw. Raphael Mwamoto.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwasikiliza wawasilishaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG