Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, September 6, 2014

SHEREHE YAWAHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI YAFANA...!

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
kagua_2_026ec.jpg
kagua_69735.jpg
Mgeni rasmi afande kanali John Julius Mbungo (katikati) ambaye pia ni mwanasheria mkuu wa jeshi lakujenga taifa akikagua gwaride.Mgeni rasmi alimuakilisha mkuu wa jeshi la kujenga taifa kwenye sherehe ya kumaliza mafunzo ya awali ya kuruti wa JKT kundi la miaka 50 ya muungano (kujitolea na mujibu wa sheria awamu ya kwanza 2014) katika kikosi cha 841 KJ Mafinga leo. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

kwaya_55768.jpg
kikundi cha kwaya kikitoa burudani
maji_3_74423.jpg
maji_4_181e0.jpg
maji_533a4.jpg
Kijana wa kikundi cha kombati karate akinyanyua ndoo za maji kwa meno

.

singe_c04a2.png
kikundi cha kwata ya singe kikipita mbele ya mgeni rasmi.
gwaride.jpg2_48370.jpg
Gwaride rasmi likipita mbele ya mgeni rasmi na kutoa heshima kwa mwendo wa pole na mwendo wa haraka. (PICHA ZOTE NA FRIDAY SIMBAYA)

MAFINGA JKT LEO NIKIWA NA BAADHI YA WAHITIMU

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG