Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, September 1, 2014

Tatizo la Watanzania sio kusoma tatizo ni kuelewa...!

  • Written byTupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter 


Na Mathias Canal
Mtanzania anauwezo mkubwa sana wa kusoma majarida, vitabu, magazeti, na hata matangazo lakini jambo gumu kwake ni uelewa wake wa yale aliyoyasoma.(FS)
Kina dada hawa nimewakuta katikati ya manispaa ya Iringa katika eneo la hospitali ya Rufaa-Iringa, wakiwa katika pozi wakati pembeni yao kuna tangazo ambalo linakataza kukaa katika eneo hilo.
Si kweli kwamba hawajui kusoma Laaaa hasha!.... naamini kwamba wanajua kusoma lakini ajabu ni pale inapokuja kazi ngumu ya kuelewa.
Uelewa wa mambo ni taharuki ambayo ipo mioyoni mwetu ukilinganisha na tafakuri ya hali halisi ya elimu ya kitanzania.
Ni rahisi sana kuwekwa hatiyani kama tutashindwa kujali,na kuziheshimu sheria mama na hata sheria ndogondogo ambazo zimewekwa tena kwa manufaa ya nchi na watanzania wake.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG