Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, October 12, 2014

BABA RICHIE AZIKWA JIJINI DAR

  • Written by  Tupambane Blog
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter 

Jeneza lenye mwili wa baba yake Single Mtambalike ‘Richie’ likiombewa dua kabla ya mazishi leo katika Makaburi ya Segerea Dar.
Waombolezaji wakielekea katika Makaburi ya Segerea Dar.(P.T)

Msanii wa Bongo Muvi, Haji Adam 'Baba Haji' (katikati) akiwa na msanii wa kitambo wa maigizo, Raymond Allen 'BishangaBashaija' (kulia) wakiwa Makaburi ya Segerea Dar.

Msanii Mrisho Mpoto (wa pili kutoka kushoto) na Banana Zorro ( wa tatu kutoka kushoto) wakiwa msibani.

Richie Mtambalike akiwa na rafiki yake wa siku nyingi msanii Raymond Allen 'Bishanga Bashaija' (kulia).


Mazishi yakiendelea katika Makaburi ya Segerea Dar.

Msanii Richie akitoka kaburini kumzika baba yake.

Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi wakiwa msibani, Rose Ndauka (kushoto), Brenda Marembeka 'Kunguru' (katikati) na JacquelinePentezel 'Jack wa Chuzi'(kushoto).
Hatimaye baba wa msanii wa filamu, Single Mtambalike ‘Richie’, amezikwa leo katika Makaburi ya Segerea Dar. Alifariki jana, Tabata, Dar.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG