Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, October 12, 2014

WATU 325 WAPATA MAUMIVU BAADA YA KUNYWA TOGWA YENYE SUMU SONGEA VIJIJINI KATIKA KIJIJI CHA LITAPWASI!!!!

Wagonjwa wapatao 325 wakiendelea kupata tiba ya kutoa sumu waliyo kunywa kwenye Togwa katika kijiji cha Litapwasi Songea Vijijini. Kulikuwa na sherehe ya kipaimara. Hapa ni hospital

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG