Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Sunday, October 5, 2014

MAELFU YA WAKAZI WA TUNDURU WAJOTOKEZA KUMPOKEA PROF IBRAHIM LIPUMBA

  • Written by  Tupambane Blog
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter
 
 Dereva Boda boda ambao ni wananchama wa Chama cha Wananchi CUF wakiongoza msafara wa mapokezi ya Prof Ibrahim Lipumba mara tu alipo wasili Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Lipumba yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara  kwa  ziara ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha wananchi  kujitokeza  katika daftari  la  wapiga  kura na vitambulisho  vya  taifa

 Huu ni umati wa watu waliojipanga barabarani kumpokea prof Ibrahim Lipumba

 Wakazi wa Tunduru ambao ni wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa chama  hicho,Prof Ibrahim Lipumba.(T.K)

 Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim Lipumba

wenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma

 Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim Lipumba

Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo akiwahutubia  wakazi wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,kutokufanya makosa  wakati  wauchaguzi wa serikali  za mitaa uliotangazwa  kufanyika Disemba 14 mwaka huu wahakikishe wanakipigia Chama cha Wananchi CUF

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi waTunduru waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja baraza  la Iddi Tunduru mjini.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG