Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, October 13, 2014

NATAFUTA MCHUMBA


Jina: Katemi
Umri: Miaka 26
Jinsia: Mwanaume
Urefu: ft 6.0
Rangi: Maji ya kunde
Mwili: Mwembamba wa wastani
Uzito: kg 63
Kuvuta: Kamwe sijawahi
Kunywa pombe: Kamwe sijawahi
Nilikozaliwa: Mwanza
Nilipo kwa sasa: Dodoma (UDOM)
Elimu: Chuo kikuu
Dini: Mkiristo
Natafuta: Mchumba (mke)
Umri: Miaka 19-23
Elimu: Supportive Form IV-Chuo kikuu
Awe mcha Mungu na anayejitambua kuwa anastahiri kuwa mama wa familia.
Kama inakuhusu na uko serious nicheki kwa mawasiliano yafuatayo tutaongea mengi na kufahamiana zaidi.
Kelvin.katemi@yahoo.com au 0786572176
NOTE: Sibagui kabila, dini wala mkoa

1 comment:

  1. Natafuta Mchumba jamani, nimechoka kuwa Single, bofya link hapa utaniona
    https://bongopenpals.blogspot.com

    ReplyDelete

TUPAMBANE BLOG