Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, October 31, 2014

NYIMBO MPYA YA MSANII CHIPUKIZI KUTOKA MKOA WA MBEYA SJ

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter 

Wimbo wake huu mpya kabisa unaitwa Kumbe Mapenzi.(T.K)
Tone Multimedia Group Kupitia Mtandao wetu wa Mbeya yetu Blog tumeadhimia kuanza kuwasaidia wasanii Chipukizi kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa mingine ya Jirani kimuziki kwa Kutambulisha kazi zao mbalimbali ili wadau pia mpate kuwafahamu.
Tunaanza Kumtambulisha kwenu Msanii wa nyimbo za kizazi kipya yaani Bongo Flava kwa jina lake halisi ni Shuku na jina la kisanii anaitwa SJ kijana ambaye yupo chini ya Mdhamini wake Mkuu Jacob Mwaisango ambaye aliona kipaji chake na kuamua kumsaidia kwa Hali na mali mpaka akaingia Studio na kutoa nyimbo kadhaa. Lakini leo Mbeya Yetu Blog Tunawatambulisha kazi hii ya kijana huyu ambaye tumeamua kumdhamini na kumsaidia Muziki wake ufike mbali zaidi

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG