Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, October 13, 2014

Shughuli


Umoja wa Vijana wa Umoja wa Mataifa unafanya kazi ili kufikia lengo kwa kufanya miradi ya aina mbalimbali:
  • kuendesha kampeni za usambazaji habari ili kujulisha umma kuhusu mada zinazohusiana na Umoja wa Mataifa kama vile Malengo ya Maendeleo ya Milenia
  • kuandaa midahalo inayohusu mada zinazohusiana na Umoja wa Mataifa mfano katika shule na vyuo vikuu
  • Kufundisha juu ya kazi ya Umoja wa Mataifa na kanuni zake katika shule za sekondari
  • kufanya mikutano inayofanana na ya Umoja wa Mataifa ambapo wanafunzi hufanya mazungumzo kama yale ya Umoja wa Mataifa kuhusu vitengo vya Umoja wa Mataifa

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG