Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akiongozana na
Bw.Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini mbele yake
wakati akikagua shughuli za ukulima wa kisasa katika kijiji cha Nkungwe
Kigoma Vijijini, Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa
kilimo cha muhogo bra katika mkoa wa Kigoma.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimsaidia Bi. Asha
Ibrahim kufukia mbegu ya Viazi, huku viongozi mbalimbali wa CCM wilaya
ya Kigoma Vijijini wakishuhudia tukio hilo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana
CCM, UVCCM Bw. Martin Shigela akishiriki katika kupalilia shamba la
Karanga katika kijiji cha Nkungwe Tarafa ya Mabembe Wilaya ya Kigoma
Vijijini wakati alipotembelea na kujionea shughuli mbalimbali na kukagua
miradi inayotekelezwa na wananchi kwa pamoja na Serikali jana.
Sekretarieti ya CCM ikiongozwa na
katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana iko mkoani Kigoma kwa ajili
ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na sherehe za
miaka 36 ya chama hicho zinazotarajiwa kufanyika Februari 3 kwenye
uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo, kulia ni Bi Fatma mmiliki wa na
kushoto ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akikabidhiwa zawadi ya
mihogo na Bi Asha Ibrahim mara baada ya kutembelea shamba lake jana,
.Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha muhogo bra
katika mkoa wa Kigoma.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimkabidhi zawadi ya
shilingi elfu 10,000 mtoto Rehema huku mama yake akimsaidia wakati
alipotembelea na kujionea shughuli za kilimo katika kijiji cha Nkungwe
jana
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akisalimiana na
wananchi wa kijiji cha Nkungwe wakati alipotembelea katika kijiji hicho
jana
Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akivuka
katika kivuko cha Mto Ruchi kwa kutumia Baiskeli huku akiwa ameonozana
na viongozi mbalimbali wa CCM wilaya ya Kigoma Vijijini pamoja na
watendajiwa kijiji hicho jana inaelezwa kwamba watu wengi walipotea
maisha kwa kuliwa na Mamba kabla ya kujengwa kivuko hiki.
Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimenya
muhogo ili kutafuna kidogo mara baada ya kununua kwa mmoja wa wakulima
Kijiji cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha Muhogo mkoani
Kigoma
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akiagiza
jambo kwa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kigoma Bw Peter Msanjila wakati
alipotembelea kata ya Mwanduga jana kulia ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa
CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akicheza
na msanii chipukizi wa kijiji cha Mabembe ambaye ni mlemavu wakati
alipotembelea na katika Kata ya Mabembe
Mjumbe wa NEC CCM kupitia Wilaya ya Uvinza Asha Baraka akiwa
katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Mwanduga Kigoma
jana kulia ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Kigoma Vijijini na
katikati ni Peter Msanjila Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kigoma.
No comments:
Post a Comment