Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, November 1, 2014

AJALI YA BASI LA SIMBA MTOTO NA FUSO YAUA MMOJA

  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter 
Fuso likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Simba Mtoto.
Basi la Simba Mtoto baada ya ajali.
Taswira kutoka eneo la ajali.
Muonekano wa fuso hilo.
BASI la Simba Mtoto lenye namba za usajili T 501 BRZ lililokuwa linasafiri kutoka mkoani Tanga kwenda Dar es Salaam limegongana uso kwa uso na fuso la Mohammed Enterprises lenye namba za usajili T 507 BAE lililokuwa likitokea jijini Dar leo.
Katika ajali hiyo, dereva wa fuso amepoteza maisha papohapo huku watu wawili ambao pia walikuwa katika fuso hilo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.
Ajali hiyo imetokea katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani baada ya fuso kufeli breki

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG