Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, November 1, 2014

MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI WAKISIMAMIWA NA KOCHA SUPER D


  • Written by  Tupambane Blog
  • Email
  • Tuma Maoni
  • Share on facebook Share on gmail Share on twitter

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha

Bondia Shabani Kaoneka kulia akimtupia konde  Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha na Tupambane

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha

Bondia Jumaa Rashid akioneshana ubavu na Juma Biglee wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa shule ya uhuru uwanja wa basket yaliyokuwa yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana picha na SUPER D BLOG

Bondia Omari Bai kushoto akipambana ya Kelvin Majiba wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa basket shule ya uhuru yaliyokuwa yakisimamiwa na Super D bOXING coach Dar es salaam jana picha na SUPER D BLOG

Bondia Shabani Kaoneka akipambana na Omari Bai wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na kochas 

Bodia Obaga Kamata kushoto akipambana na Idrisa Mweta wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa basket yakisimamiwa na Super D Boxing Coach

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG