Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Wednesday, November 12, 2014

AZAM FC IMETOA MAPUMZIKO.......!

  • Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Kutokana na ligi kusimama baada ya kumalizika kwa raundi ya 7, Azam FC imetoa mapumziko kwa muda wa wiki moja kuanzia leo hadi Jumatatu ijayo kwa wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za taifa. Watakao kuwa katika timu zao za taifa ni hawa;
1. AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. SAID MORAD
5. AGGREY MORIS
6. HIMIDI MAO
7. SALUM ABUBAKAR
Hao 7 wapo Taifa Stars
LEONEL SAINT PREUX - ameitwa katika timu ya taifa ya Haiti
DIDIER KAVUMBAGU - ameitwa katika timu ya taifa ya Burundi.
Tunawatakia mafanikio na timu zao za taifa.CHANZO AZAM FC

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG