Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, November 7, 2014

MAREKANI KUBADILI SERA DHIDI YA IRAN?

  • Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Marekani imepinga madai ya taifa hilo kwamba imebadili sera zake dhidi yaIran kutokana na ripoti za magazeti na kuwa Rais Obama amekuwa na mawasiliano ya siri na viongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei.
Jarida la The Wall Street Journal lilitoa taarifa kwamba mwezi uliopita kuwa Rais Obama alituma barua kwa Khamenei iliyobeba malengo ya pamoja katika kupigana na kundi la wapiganaji wa kiislam la IS.
Rais ObamaMsemaji wa Ikulu ya Marekani White House Josh Earnest amepuuzakukanusha ama kukubali madai ya ripoti hiyo dhidi ya Marekani kwamba sasa mlengo wake kwa Iran unalegezwa na muungano wa kuungana pamoja kuwapiga kundi la IS.
Iran na mataifa mengine yenye nguvu Duniani ikiwemo Marekani yamekuwa yakijadiliana dhidi ya mpango wa Iran na Nyuklia

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG