Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, November 8, 2014

MEYIWA KUWANIA TAJI LA MCHEZAJI BORA


  • Share on facebookShare on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Aliyekuwa mlinda lango wa kikosi cha timu ya Afrika ya Kusini marehemu Senzo Meyiwa ni mmoja ya walioteuliwa kuwania taji la mwanasoka bora barani afrika.
Shrikisho la soka barani aAfrika CAF limetangaza majina ya wachezaji 20 watakaowania tuzo hilo la mwaka 2014,mbali na kutoa orodha ya majina 25 ya mchezaji bora wa shirikisho hilo barani Afrika.
Mchezaji wa Ivory Coast ambaye pia ni kiungo wa kati wa timu ya manchester CityYaya Toure ambaye ameshinda tuzo hilo kwa miaka mitatu iliopita ameorodheshwa tena.
Meyiwa mwenye umri wa miaka 27 alipigwa risasi mwezi uliopita,alikuwa amechaguliwa kama nahodha wa timu hiyo mapema mwaka huu.BBC (V.S)

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG