Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, November 22, 2014

MKURUGENZI REDIO 5 AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA NA KUANDAA VIPINDI VYA KILIMO

IMG_0085Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis  akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kufanya halfa fupi iliyofanyika mjengoni kwao ,ya kuwapongeza kwa kushika nafasi ya kwanza katika sekta ya mawasiliano na habari kwa ukanda wa kaskazini maonyesho ya nane nane, Pamoja na  David Rwenyagira aliyepata Tuzo za Tanapa hivi karibuni
???????????????????????????????Meneja masoko wa Tan media Bi.Sarah Keiya akiwa ameshikilia kikombe kabla ya halfa kuanza
IMG_0073Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis  akiwa anampongeza Mfanyakazi wa kituo hicho David Rwenyagira kwa kupata Tuzo na kushika nafasi ya kwanza upande wa Redio katika eneo la kutangaza utalii wa ndani na mshindi wa pili pekee kundi la kutangaza masuala ya Uhifadhi upande wa Redio zilizotolewa na   Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) hivi karibuni

IMG_0088
???????????????????????????????David Rwenyagira akiwa anatoa pongezi kwa Mkurugenzi wao kwa kuweza kuona mchango wao katika kampuni hiyo ambapo pia aliwataka wamiliki wa vyombo vya habari hapa Nchini  kutoa ushirikiano kwa wanahabari wao katika kuibua habari za kijamii ikiwa nipamoja na kuwaezesha kufika vijijini

IMG_0024
IMG_0028Bw Robert Francis akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo, ambapo pia alitumia fursa hiyo kuvitaka vyombo vya habari kuandika na kutangaza habari zinazohusu wakulima vijijini hali itakayosaidia kupatikana kwa  wataalam wa kuwasaidia katika kilimo ikiwa nikukuza ajira katika upande wa kilimo
Pia amewaomba  waandishi wa habari Tanzania kupeleka kazi zao katika mashindano mbalimbali hali itakayosaidia kujipima na kuongeza ujuzi zaidia huku akimtolea mfano mtangazaji wa kituo hicho David Rwenyagira aliyepata TUZO na kushika nafasi ya kwanza upande wa Redio katika eneo la kutangaza utalii wa ndani na mshindi wa pili pekee kundi la kutangaza masuala ya Uhifadhi upande wa Redio zilizotolewa na   Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) hivi karibuni
IMG_0017Watangazaji wa kituo hicho wakiwa katika halfa
IMG_0014
IMG_0011

IMG_0003
IMG_0030Ulaji ulikuwa hivi..
IMG_0037
IMG_0036
IMG_0034
IMG_0032
IMG_0031
IMG_0038
IMG_0042Mtangazaji Clara Moita akiwa anajipakulia katika halfa
IMG_0048
IMG_0049Semio Sonyo wa kipindi cha Love cuts akiwa anafanya yake
IMG_0055
IMG_0078
IMG_0076Wafanyakazi wakiwa katika nyuso za furaha baada ya halfa
IMG_0060
IMG_0082
IMG_0080
IMG_0090

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG