Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, November 15, 2014

WANA CCM BEIJING WAKUTANA


  • Share on facebook
    Share on google_plusone_shareShare on twitterShare on linkedin
Wanachama wapya wa Tawi la CCM China waliopo Beijing wakikabidhiwa kadi na Mwenyekiti wa Tawi Ndugu Boniphace Shija Nobeji.

Kada na Mtumishi wa CCM Makao Makuu Ndugu Suleiman Serera akitoa semina iliyohusu itikadi na imani ya CCM kwa wanachama wa CCM Beijing.(P.T)
Sehemu ya wanachama waliohudhuria wakiuatilia kwa makini semina iliyokuwa ikitolewa.
Wanachama wa mashina ya CCM Beijing wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza Mkutano wao uliofanyika katika Chuo cha Beijing Normal.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG