Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, November 15, 2014

WANAFUNZI WA KENYA WATEMBELEA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YA AFRIKA KUJIFUNZA

unnamedNaibu Msajili wa Mahakama ya Kiafrika ya Haki za Binadamu(AfCHR)Nouhou Dialo akizungumza na wanafunzi  wanaosoma  Sheria  katika Chuo cha  African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya  waliofanya ziara ya kujifunza juu ya  utendaji kazi wa Mahakama hiyo yenye makao yake Jijini Arusha jana,wengine ni Mhadhiri wa Chuo hicho,Nyamweya Mamboleo na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa AfCHR,Sukhdev Chatbar.1Baadhi ya Wanafunzi  wanaosoma  Sheria  katika Chuo cha  African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya  walimsikiliza  Naibu Msajili wa Mahakama ya Kiafrika ya Haki za Binadamu(AfCHR)Nouhou Dialo .2Wanafunzi  wanaosoma  Sheria  katika Chuo cha  African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya  walimsikiliza  Afisa Uhusiano Mwandamizi wa  AfCHR,Sukhdev Chatbar wakati akiwatambulisha maeneo mbalimbali ya Mahakama hiyo.unnamed3Mmoja wa wanafunzi akifurahia kitabu kwenye Maktaba ya Mahakama hiyo lanaunnamed5Wanafunzi  wanaosoma  Sheria  katika Chuo cha  African Nazarine University , Nairobi nchini Kenya  wakiangalia baadhi ya Kesi zilizowahi kufunguliwa  katika Mahakama hiyo.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG