Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Wednesday, December 10, 2014

AJIUWA KWA RISASI MJINI MOSHI HAPA



Jana majira ya saa 12 asubuhi Tajiri mmoja amejipiga risasi kifuani na kupoteza uhai hapohapo chanzo cha kujipiga risasi hakijajulikani tutakujulisha  kinacho endelea bado tupo kwenye uchunguzi.
Hizi ni baadhi ya picha alivyo jipiga risasi majira hayo ya asubuhi


Akiwa amelazwa nyumbani katika sofa kabla ya kupelekwa hospital

Hi ni picha moja wapo inayoonyesha alivyo jipiga risasi
Hapa yuko hospitali mochuari
Endelea kufatilia tutakujuza kwa yanayo endeleo naupate kujua chanzo pia waweza fatilia kwa kupitia no.+255766584461

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG