Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, December 13, 2014

MWANASOKA WA KIKE SHERIDA BONIFACE AIBUKA MWANAMICHEZO BORA WA JUMLA MWAKA 2014 USIKU HUU


1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo
 ya mwanamichezo bora wa jumla wa mwaka katika mchezo soka ambaye ni mchezaji wa kike  Sherida Boniface wakati wa utoaji wa tuzo za wanamichezo bora zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA , kushoto ni Mwenyekiti wa TASWA Bw. Juma Pinto , hafla ya utozji wa tuzo hizo imemalizika usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein  akipiga picha ya pamoja na wananchezo wa mwaka waliotunukiwa tuzo za michezo zinazotolewa na TASWA usiku huu kwenye ukumbi wa Diambond Jubilee jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG