Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Saturday, December 13, 2014

UNAAMBIWA NDOA ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU YA FEZA KESSY NA ONEAL SASA YAGEUKA KUWA BARAFU (YAYEYUKA)



Staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy.


Habari mbaya! Mpenzi msomaji tunasikitika kukujuza kwamba ile ndoa iliyosubiriwa kwa hamu kubwa imeyeyuka baada ya uchumba wa staa wa Bongo Fleva aliyeiwakilisha Bongo kwenye Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’, Feza Kessy na jamaa kutoka Botswana, Oneal umeanguka chali.
Habari za uhakika zinadai kwamba mwanadada huyo ndiye aliyeamua kukata mzizi wa fitina na kuachana na mwanaume huyo ambaye alitimba Bongo kumchumbia baada kuona hana mipango ya maisha ya baadaye huku jamaa akiwa bize na maisha yake na mwanaye mwenye umri wa miaka nane.

Feza Kessy akipozi.
Akizungumzia ishu hiyo, Feza alisema: “Mimi ndiye niliyemuacha. Nilitangaza kupitia Twitter (mtandao) lakini ujumbe umefika. Ni kweli tumeachana lakini siwezi kuzungumza in details (kiundani). Vitu vingine vitafunguka baadaye.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG