Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40
| Wakazi wa Shinyanga wakiangalia mwili wa marehemu |
| Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu |
| Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa-Picha na |
| Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu |
| Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio |
| Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu |
| Askari polisi wakiondoka na mwili wa marehemu- |
| Askari polisi wakiondoka eneo la tukio |
| Wakazi wa Shinyanga wakiondoka eneo la tukio |
| Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio |
Wananchi wakiondoka eneo la tukio baada ya polisi kuondoka na mwili wa marehemu-picha na Kadama Malunde 1

No comments:
Post a Comment