Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, February 27, 2015

Development Partners Group promised continuing support to Tanzania

  • Share on facebook Share on google_plusone_share Share on twitter Share on linkedin
2_88c65.jpg
1_e6c28.jpg
3_03ac3.jpg
4_1f0e6.jpg
Development Partners Group as UN agency promised continuing support to Tanzania focusing in social welfare and economic development.
Talking to journalist in Iringa last night, United Nation Resident Coordinator Alvaro Rodriguez said UN will keep its focus in helping Tanzania in the areas of health nutrition and how poor people will be able to benefit from economic development in the next five years.
Moreover, due to their visit in different development activities, the Chairperson of DPG Maria Van Berlekom said that they will keep on working with TANESCO and REA in providing equipment and tools that will facilitate the process of providing electricity in different villages in Tanzania so that Tanzania would now have small processing industry in villages.
In addition, Ms Maria said that they will continue encouraging people to use solar electricity and all other means that provide power.
In Swahili:
Washirika wa Maendeleo kutoka Umoja Wa Mataifa wemeahidi kuendelea kuunga mkono shughuli za maendeleo ya uchumi pamoja na ustawi katika jamii ya Kitanzania. Hayo yamesemwa jana usiku na Mratibu Mkazi wa UN Alvaro Rodriguez katika mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika mkoani iringa.
Alvaro amesema suala la ustawi katika jamii na maendeleo ya uchumi ni vitu ambavyo wao kama wafadhili wanaoiwakilisha UN wataendelea kuviangalia haswa wakisisitiza suala la afya na upatikanaji wa lishe bora kwa wananchi wa Tanzania hususan wale wenye kipato cha chini.
Alvaro aliongeza kuwa, kikubwa ambacho watahakikisha ni kwa njia gani wanachi hasa wale wa kipato cha chini wataweza kufaidika katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania.
Mbali na hayo, nae Mwenyekiti wa msafara huo Maria van Berlekom amesema kuwa bado UN wataendelea kushirikiana na REA pamoja na TANESCO kwa kuongeza vifaa vya umeme ili kuimarisha miundo mbinu ya umeme na kuweza kufikisha umeme vijijini ili hata wanavijiji hao waweze kufungua viwanda vidogo vidogo ambavyo vitawasaidia kujikwamua kimaisha.
 Hali kadhalika, Maria amesema mbali na kuleta vifaa mbavyo vitaweza kufikisha umeme katika maeneo ya vijijini, bado wanaendelea kusisitia matumizi ya umeme wa sola na njia nyingine za uzalishaji wa umeme kwani pia ni msaada kwa wananchi hasa waishio vijijini. ( Habari na Picha Zote: Jacqueline Muro, KwanzaJamii/Mjengwablog.com)

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG