Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Monday, February 16, 2015

KITUO CHA RADIO 5 WAADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI


SAM_1092Wakulima pamoja na vijana kanda ya kaskazini wakiwa katika majadiliano mara baada ya kufanya ziara katika kituo cha Radio 5 nakuona namna inavyoendesha vipindi vyake katika maadhimisho siku ya radio duniani iliyofanyika 13/2/2015 jijini Arusha
SAM_1093Mkuu wa vipindi vya radio 5 Mathew Philip akiteta jambo na mkulima aliyefika katika maadhimisho hayo
SAM_1089Mtaalamu wa mnyororo wa dhamani kwenye mauzo ya kilimo kutoka Asasi isiyokuwa ya kiserikali la Farm Radio Bw.Terevael Aremu akizungumza katika maadhimisho hayo
SAM_1091Wafanyakazi wa kituo cha radio 5 wakiwa wanafurahia jambo
SAM_1097kulia ni Mkuu wa vipindi vya radio 5 Mathew Philip na Ashura Mohamed wakiwa katika picha ya  pamoja na wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo ya Radio duniani
SAM_1105Watangazaji mahiri wa kituo cha radio 5 wakiwa katika pozi Semio Sonyo kushoto,katikati Mwangaza Jumanne na Linus Kilembu
SAM_1102Kulia Hilda Kinabo na Semio Sonyo watangazaji wa Radio 5
SAM_1100SAM_1099Mkuu wa vipindi vya radio 5 Mathew Philip pamoja na Mtangazaji Linus Kilembu wakiwa katika majadiliano
SAM_1109Mtangazaji mahiri wa kituo cha Radio 5 Tonnie Kaisoi katika pozi
Kituo cha Radio 5 chenao yake makuu jijini Arusha imeadhimisha siku ya Radio duniani kwa kuwakutanisha wakulima  na vijana kanda ya kaskazini ikiwa nikuhamasisha vijana kujieleza namna Radio hiyo imesaidia katika kukuza uchumi,kijamii,kisiasa na kiutamaduni
Akizungumza na waandishi wahabari hivi karibuni Mkuu wa vipindi wa Radio 5 Bw.Mathew Philip alisema maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kituo hicho pamoja na Farm Radio, ikiwa ni kuhadhimisha siku ya Radio duniani ambapo ilifanyika  tarehe 13/2/2015 jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG