Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, February 27, 2015

Kombe la Shirikisho:Yanga dimbani leo

Kikosi cha Yanga ya Tanzania
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho baraniAfrika Yanga Leo hii watajitupa uwanjani kuwakabili BDF XI huko Gaborone, Botswana.
Huu ni mchezo wa marudiano ambapo mchezo wa awali Yanga walishinda magoli 2-0 mchezo ulifanyika Jijini Dar es Salaam Tanzania.
Jumamosi Timu nyingine mbili za Tanzania, Azam FC na KMKM, zitakuwa Viwanjani kwenye Mechi za raundi ya pili ya Klabu bingwa barani Afrika CAF
Wakati Polisi ya Zanzibar itacheza Mechi yake ya Pili ya raundi ya kwanza ya Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho hapo Jumapili.
Yanga na Azam FC, ambao wako Ugenini wanahitaji Sare ya aina yoyote au ushindi kuweza kusonga mbele kwa hatua inayofuata.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG