Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Tuesday, March 3, 2015

Arsenal kumenyana na Everton

   

Wachezaji wa Arsenal wakikabiliaana na wenzao wa Everton wakati wa mechi kati ya timu hizo mbili
Kurudi uwanjani kwa kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere' kutacheleweshwa kwa siku chache baada ya mchezaji huyo kufanyiwa upasuaji mdogo.
Mwenzake Aaron Ramsey na Mathiew Flamini hawajulikani iwapo watacheza kufuatia majeraha ya mguu.
Upande wa Everton Romelu Lukaku anatarajiwa kuwa sawa licha ya kutoka katikati ya mechi na jeraha la mguu wiki iliopita.
John Stones na Aaron Lennon wanarudi baada ya kuhudumia marufuku lakini Steve Pienaar bado yuko nje na jeraha la goti.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG