Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, March 6, 2015

YA TIGO YATOA ZAWADI KWA WATEJA BORA WA TIGO WA MWAKA 2014

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI 

TI1Tigo Mteja bora 2014, Anta Ramadhani (kulia) akipokea zawadi ya simu kutoka kwa Mtaalamu wa Habari katika Mitandao ya Kijamii ya Tigo Samira Baamar, katikati ni Meneja Uendeshaji na Msaidizi wa Mifumo ya Mawasiliano wa Tigo Halima Kasoro
TI2Tigo Mteja bora 2014, Hamin Halfani (kulia) akipokea zawadi ya simu kutoka kwa Meneja Ubora Mwangaza MatotoraTI3Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo wakiwa katika picha ya pamoja na Tigo Wateja bora 2014, katika hafla fupi ya kuwakabidhi zawadi wateja hao iliyofanyika leo katika Makao Makuu ya Tigo Tanzania, Makumbusho Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG