Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Thursday, April 23, 2015

MAJAMBAZI WAPORA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUKAMATWA KIZEMBE, NI VIJANA WATANASHATI; YADAIWA MMOJA WAO KATOKA KUMVISHA PETE YA UCHUMBA MCHUMBA WAKE HIVI KARIBUNI


Hawa ndio majambazi waliompora mzungu pesa maeneo ya Kinondoni karibu na benki ya Stanbic makao makuu.
Taarifa za karibu kutoka kwa marafiki wa karibu wa mmoja wa majambazi hao zinasema mmoja kati ya majambazi hao hivi karibuni alitoka kumvisha pete ya uchumba mchumba wake kama picha inavyomuonyesha hapo juu. kwa kuangalia hiyo picha ya hapo juu wakati wa sherehe hiyo ya uchumba na ukiangalia picha ya juu kabisa utaweza kumuona jambazi huyo au mvisha pete huyo ni huyo mrefu kabisa aliyevaa tshirt nyeupe iliyoandikwa wild.
Majambazi 6
Majambazi hayo yakiwa chini ya ulinzi mkali maeneo ya posta karibu na hotel ya serena baada ya kutoka kufanya uporaji maeneo ya kinondoni
Hii ndio gari waliyokuwa wanaitumia wakati walipofanya uporaji wao
Majambazi 3
Majambazi 2
Majambazi 1 
Majambazi hayo yalifanya uporaji katika eneo la kinondoni karibu na benki ya stanbic kwa kumpora mzungu mfuko uliodhaniwa ulikuwa na pesa. baada ya kufanya uporaji huo majambazi hayo yalikimbia kwa kutumia gari lao aina ya Noah kwa kuelekea maeneo ya posta, kwa baati nzuri kuna msamalia mmoja aliwaona walipokuwa wanafanya uporaji huo na kuwafuata taratibu mpaka alipowablock na gari lake maeneo hayo ya mataa karibu na hotel ya Serena na ndipo polisi wa doria wa eneo hilo walipowatia nguvuni kwa kuwakamata. 
 
Taarifa kutoka jeshi la polisi zinasema majambazi hao walikutwa na bastola mbili

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG