Blogger Widgets FURSA KWA VIJANA WOTE TUPAMBANE KWA KILA NJIA ILI MRADI TUWEZE KUEPUKA HUU UMASKINI TANZANI NA AMIN KILA ATAFUTAYE KWA NIA HUPATA MAANA ATA MAANDIKO HUSEMA PENYE NIA PANA NJIA

Friday, May 15, 2015

ISIS WAWACHINJA WAPELELEZI WATATU MTAANI NCHINI IRAQ


Mmoja wa wapelelezi hao akichinjwa na mpiganaji wa ISIS.
Mpiganaji huyo wa ISIS akimchinja mpelelezi mwingne. Pembeni kushoto ni mwili wa mwenzake.
WATU watatu wanaodaiwa kuwa wapelelezi wameuawa kwa kuchinjwa na wapiganaji wa Kundi la ISIS nchini Iraq.
Watu hao wanatuhumiwa kwa kulipepeleza kundi hilo kwa ajili ya serikali ya Iraq.
Wapelelezi wawili waliouawa kwa kuchinjwa. Mpelelezi wa tatu hayupo pichani.
Picha zilizochukuliwa kutoka eneo la mauaji hayo zinaonyesha watu wawili wakiwa wamepiga magoti huku mpiganaji wa ISIS akiwa amesimama pembeni yao na panga mkononi kwa ajili ya kufanya mauaji hayo. 

Picha hizo zilichukuliwa huko Kaskazini-Magharibi mwa Mkoa wa Nineveh nchini Iraq. 
Vitendo vya mauaji ya kuchinjwa hadharani, kupigwa mawe na mauaji mengine kadhaa ya kutisha vimekuwa vikitokea mara kwa mara vikilihusisha kundi hilo la ISIS.

No comments:

Post a Comment

TUPAMBANE BLOG